Kaa chini Na utaakari Jiulize mara mbili Je! umeweza kukaa katika njia hiyo njia nyembamba iendayo uzimani? Kama Ndiyo umejihakikishaje?, Basi ni muda wa kurudi kwa mungu na kutubu dhambi zako zote yaani kumaanisha kuziacha nawe uatafanyika mwana wa Mungu
No comments:
Post a Comment